Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Ahsante Mhe. Spika. Tunaheshimu uamuzi wa korti lakini hatukubaliani nao. Mwanzo, sisi kama Jubilee Party, tulikuwa tushaenda. Hatuko kwa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party. Ukiangalia Mawaziri wale tuko nao saa hii, ambao walipeleka haya mambo kortini, Mhe. Wandayi na Mhe. Mbadi, saa hii...