Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Barabara yetu ambayo itakuwa ya kwanza, kwa maana hatuna hata inchi moja ya lami, lakini sasa tumepata. Jana ndio contractor amepeleka mashine bandarini. Kwa vile imechelewa sana, na ninajua kuna pesa, ninaomba Waziri ahakikishe hii barabara ianze pande zote, kutoka Mtangawanda hadi Siyu, na...