Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Nakushukuru, Mhe. Spika wa Muda, kwa sababu majibu kutoka kwa Waziri ni mazuri na pia amenipatia information zaidi. Lakini, masikitiko ni kuwa shule zinamtegemea Mbunge kwa pesa za maintenance. Ndiyo maana nilileta suala hilo hapa. Dirisha ikiharibika, hairekebishwi mpaka hazina ya National Government Constituencies...