Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Asante Bwana Spika, kwa kunipa nafasi ya kutoa rambirambi zangu kwa niaba yangu, watu wangu wa Lamu East, na familia yangu, kwa familia ya Grace Onyango. Kwa kweli, Bi. Grace alikuwa mfano mwema. Mwanzo, ningependa kumpongeza Mbunge wa kiume ambaye ni rafiki wa wanawake....