Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Mswada huu. Mwanzo, ningependa kumpongeza ndugu yangu, Mhe. Barasa. Ninaiunga mkono sheria hii. Ninaomba sheria hii iwe rahisi kutumika, na isiwe sheria ngumu ya kuwatatiza 26th April 2023 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 32 Hon. Ruweida...