Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Asante Mhe. Spika wa Muda. Swali langu kwa Waziri ni hili: Mkokoni, Lamu East, awamu ya pili ya upimaji mtamaliza lini? Kitu kinanishangaza ni kuwa Kenya nzima, ni Lamu peke yake kutoka wakati wa ukoloni ndiyo ni Government of Kenya land. Sehemu zingine zote...