Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ya kumuuliza Waziri maswali. Mwanzo, ninachukua nafasi hii kumpongeza Waziri. Kusema kweli, tumekukosa hapa Bungeni. Tulikuwa tumezoea kuisikia sauti yako sana. Tumekumbuka sauti yako wakati ulipokuja. Nilipopata nafasi hii, nilijiuliza ni jinsi gani huyu mfugaji...