Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP) Asante, Mhe. Spika. Nami ninatoa rambirambi zangu, za familia yangu na watu wa Lamu kwa jumla, kwa Mheshimiwa aliyefariki. Ningependa pia kuchukua nafasi hii kutoa rambirambi zangu kwa familia ya Naibu wa Gavana wa Lamu aliyefariki. Mungu aiweke roho yake pahali pema. Alikuwa mtu...