Hon. Rashid Bedzimba (Kisauni, ODM) Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima, nguvu na uhai kuweza kurudi tena katika Bunge hili baada ya likizo ndefu. Nami pia nasimama kulaani kitendo cha mauaji ya wanawake. Hili si swala la viongozi wa kike pekee, bali...