Hon. Rashid Bedzimba (Kisauni, ODM) Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi ya kuuliza swali la ziada. Waziri wa Masuala ya Ndani na Utawala wa Taifa, tunayo imani na wewe. Tunayo imani utaleta mabadiliko. Umesema usajili wa wanajeshi uko huru, lakini kuna Wakenya ambao wanakatazwa kujiunga na jeshi kwa sababu...