Hon. Rashid Bedzimba (Kisauni, ODM) Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii nami niweze kupenyeza sauti yangu kwa kuichangia Hotuba ya Rais aliyokuja kuzungumza hapa, kwa taifa. Kwanza, nizungumzie swala la Adani. Kwa kuivunjilia mbali kandarasi ya Adani, Mhe. Rais amefurahisha Wakenya wengi kwa sababu ni jambo...