Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ya kuchangia. Kwanza, kwa niaba yangu na niaba ya watu wa Jomvu, nachukua fursa hii kutoa rambirambi zangu kwa watu wa Malindi kwa yale maafa yametokea. Pili, ninampongeza Mhe. Owen Baya kwa kuleta hili jambo....