Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Hon. Temporary Speaker, I stand guided. Ninasema kwamba kulingana na hali ilivyo wakati huu, tumepoteza watu wengi. Leo, ukitembea Majengo, King’orani, Mji wa Kale na sehemu zingine katika Kaunti ya Mombasa, wazazi wanalia kwa sababu hawajui watoto wao wako wapi. Wengi wamepotea kwa sababu ya...