Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Kwa niaba yangu, kwa niaba ya familia yangu na kwa niaba ya wananchi wangu wa Jomvu, natuma rambirambi zetu kwa wale waliopata mkasa wa moto kule Mvita. Pia mimi binafsi, natuma pole kwa ndugu...