Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kumuuliza Mwanasheria Mkuu Swali lifuatalo: March 2, 2022 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 10 Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM)Mhe. Naibu Spika, siku tisini ziliisha tarehe 15/10/2020, na hadi sasa miaka miwili imepita na watu hawa wamekufa, hawawezi kuzaa na pia wako...