Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Ahsante sana, Mhe Spika wa Muda. Ndiyo hata wewe binafsi ulipoenda nchini Uganda, ulisema hutaki mambo ya ushoga. Hii ni kwa sababu wale wanaofanya mambo yale pia ni wahalifu. Rais Museveni alisema akikupata unasajili mashoga, anakuua. Kwa hivyo, ile kuua yake si kwa sababu ya...