Hon. Bady Twalib (Jomvu, ODM) Kama alivyosema Mhe. Rindikiri, ni ukweli yeye ni rafiki yangu sana. Tulipanga kwamba akifika Mombasa, atakuja sehemu inayoitwa, ‘Kwa Ndege Ya Bady’. Hata wewe, Mhe. Spika wa Muda, umeingia kwenye ndege yangu. Kwa hivyo, tunawakaribisha watu watakaokuja pale Mombasa. Kwa wakati kama huu, mimi nikiwa...