Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Shukrani, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia fursa hii kuzungumza jambo hili, ambalo ni muhimu, na linaweza kuinua uchumi wa Kenya. Pia, linaweza kuhifadhi sarafu za kigeni, ambazo kwa wakati huu zinatumika kwa wingi. Tukileta nguo, hasa katika sekta ya mitumba – ninajua ni biashaara kwa...