Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza, ninatoa shukrani kwa kupatiwa fursa hii adimu sana ili, niweze kuzungumzia anaye zungumziwa leo, Bwana Martin Ogindo, akiwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Ukuzaji, 13th April 2023 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 32 Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC)Usambazaji na Uuzaji wa...