Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia hii fursa. Langu kwanza ni kumpongeza Mhe. Mwadime, aliyekuwa Mbunge wa Mwatate, kwa kuanzisha Mswada huu. Wajua sasa hivi anaitwa His Excellency Governor wa Taita Taveta. Kwa hivyo, nampatia pongezi. Pili, nampongeza Mhe. Daktari Makali Mulu kwa...