Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Asante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, nawapongeza wale ambao walikaa na kuibua Hoja hii ya malalamiko, ambao ukiuangalia, ni kweli kuwa wale ambao wanafanya shughuli ya bobaboda kupitia mtandao wanadhulumiwa haswa na wale wenye mitandao. Ukiangalia masuala yaliyoorodheshwa hapa, wanafanya kazi...