Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Sijui suala hili la ardhi na wananchi kunyanyaswa tuliimbie, tulizungumzie au tulililie ili wananchi wapate haki yao. Sio tu watu wa Kuria peke yake walioathirika. Kila wakati tunalizungumzia hili suala la ardhi, haswa sehemu za...