Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Mti huo, mkalatusi, hata kwa jina lake tu katika lugha ya Kiswahili, unamalizika na neno “tusi”. Tunajua kuwa neno “tusi” si zuri. Kwa Waswahili ambao wamebobea, huwa tunasema, “ashakum si 20th November 2024 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 36 Hon. Kassim Tandaza...