Hon. Gertrude Mwanyanje (Kilifi County, ODM) Ahsante Mhe. Spika wa Muda. Ninaunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Mbunge wa Kilome, Mhe. Nzambia. Ni muhimu uendelezi wa kusajilisha wazee ufanyike. Pia, Mhe. Nzambia ameleta Hoja hii kwa wakati mufti. Kuanzia mwaka wa 2007 hadi 2016, wazee wengi waweza kuwa walifariki na...