Hon. Gertrude Mwanyanje (Kilifi County, ODM)Asante, Mhe. Spika. Ninaiunga 31st July 2025 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 22 Hon. Gertrude Mwanyanje (Kilifi County, ODM)(Laughter) Mhe. Gertrude Mwanyanje (Kilifi County, ODM): Zamani walikuwa wanaitwa baba sukari, lakini sasa ni baba sumu. Mhe. Spika, watoto wadogo wanadhulumiwa. Kuna itikadi nyingine kutoka kwa jamii fulani...