Hon. Gertrude Mwanyanje (Kilifi County, ODM)Nataka kumuuliza Waziri swali. 7th June 2023 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 18 Hon. Gertrude Mwanyanje (Kilifi County, ODM)ni ipi? Ni sawa watoto wabebe kuku ili wakaone kuku hai kisha achinjwe? Nyama hizi hazirudi nyumbani. Wanabeba samaki ili wakafunzwe majina yao. Samaki hawa wanapikwa kule shuleni na...