Hon. Hon. (Ms.) Haika Mizighi (Taita Taveta CWR, JP)Shukrani sana, Mhe. Spika, June 9, 2022 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 47 Hon. Hon. (Ms.) Haika Mizighi (Taita Taveta CWR, JP)Tumekuwa na wakati mzuri na tumekuwa na changamoto hapa Bungeni. Mhe. Spika nakushukuru sana kwa sababu sisi Wajumbe ambao tulichaguliwa kipindi cha kwanza,...