Hon. Haika Mizighi (Taita Taveta County, UDA) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hatimaye kuchangia Hoja hii. Ni jambo la aibu sana kwamba miaka nenda miaka rudi, mambo ni yale yale ya maandamano. Wahusika ni wale wale. Tunamjua mhusika mkuu anayeitisha maandamano miaka nenda, miaka rudi. Watoto...