Hon. Khamis Chome (Voi, WDM) Asante sana, Mhe. Spika. Nimesimama kutoa mchango wangu kuhusu Mswada wa Fedha, 2024. Kwanza kabisa, kama mwakilishi wa eneo Bunge la Voi, nimepata ujumbe mwingi ambao unanihimiza nisiunge mkono Mswada huu. 20th June 2024 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 33 Hon. Khamis Chome (Voi, WDM)Ninakubaliana nao. Sababu...