Hon. Paul Katana (Kaloleni, ODM) Asante Mhe. Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Ripoti hii. Ukiangalia Ripoti hii na vile hali ilivyo kwa sasa, Wizara ya Uchukuzi imezembea na inachezea maisha ya wananchi ambao wanatumia kivuko cha feri cha Likoni. Tunaweza kulaumu Mkurugenzi na timu yake ambao wako kwa feri,...