Hon. Paul Katana (Kaloleni, ODM) Asante, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza, ninamshukuru ndugu yangu, Mhe. Owen Baya, kwa kuleta Petition hii katika Bunge letu. Kaya ni sehemu moja ya desturi za Wamijikenda. Kaya ni sehemu ya msitu ambapo sisi Wamijikenda tunaenda kuomba kwa ajili ya mvua, afya...