Hon. Zamzam Chimba (Mombasa County, UDA) Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia mada hii ya leo. Ubinadamu unamtaka kila mmoja wetu aweze kuangaliwa kwa usawa. Inasikitisha sana kuona watoto na akina mama ndani ya Palestine wakiuliwa kama wanyama. Na ikiwa dunia ama Umoja...