Hon. Kassim Tandaza (Matuga, ANC) Asante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa hii fursa. Kwanza, tutambue kwamba katika Katiba yetu ya 2010, katika uteuzi wowote ambao unafanyika katika Tume, ni lazima kuwe na wakilishi wa kimaeneo. Kwa muda mrefu, Eneo letu la Pwani limeachwa nyuma katika uteuzi kama huu. Kwa...