Hon. Tindi Mwale (Butere, ODM) Ahsante Mhe. Spika wa Muda. Pia mimi nitaendelea kuzungumzia Mswada huu kwa lugha ya taifa, vile mwenzangu kutoka Matuga amefanya. Kwanza, ningetaka kumshukuru Mwenyekiti wa Kamati yangu, Mhe. Chepkong’a, kwa kuleta Mswada huu. 20th March 2024 NATIONAL ASSEMBLY DEBATES 11 Hon. Tindi Mwale (Butere, ODM)Jambo...