Hon. Jackson Lekumontare (Samburu East, KANU) Asante, Mhe. Spika wa Muda. Ningependa kuchangia Hoja hii. Namshukuru ndugu yangu, Mbunge wa Nyali, kwa kuileta Bungeni. Sisi kama wananchi wa Kenya, tunaongozwa na desturi na mila zetu za kiafrika, na ata dini zetu. Kitabu takatifu cha Mungu, Bibilia, inasema ya kwamba mwanamke...