Hon. Feisal Bader (Msambweni, UDA) Ahsante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ili nitoe rambirambi na pole zangu. Kwa niaba yangu, familia yangu, na watu wa Msambweni, nataka kutoa rambirambi na pole zetu kwa familia ya Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Mheshimiwa Raila Amolo Odinga atakumbukwa kwa kuwa...