Hon. (Dr.) Naomi Shaban (Taveta, JP) Asante sana Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ili nitoe risala za rambirambi kutoka kwangu, jamii yangu, na Eneo Bunge la Taveta kwa ujumla. Rais wetu wa tatu wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Mwai Kibaki, alikuwa si Rais tu, bali pia baba mpendwa wa...