Hon. Mathias Robi (Kuria West, JP) Ahsante Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii. Natoa rambi rambi zangu, za familia yangu na za watu wa Kuria West kwa jumla, kwa familia, sana sana kwa mjane wa Mhe. Machage. Tunaelewa kuwa Mhe. Machage alikuwa na nduguye pacha ambaye walipendana sana na hata...