Hon. (Dr) Robert Pukose (Endebess, UDA) Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuchangia Hoja ambayo imeletwa na Mhe. Thuddeus Nzambia, Mjumbe wa Mwingi Kaskazini. Pole, naomba msamaha, Mjumbe wa Kilome. Nataka kumshukuru kwa kuleta Hoja hii ambayo inazungumzia malipo ya uzeeni. Mara ya mwisho...