Hon. Ngunjiri Kimani (Bahati, JP) Asante Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hiyo. Naanza kwa mambo mawili ama matatu ambayo ningetaka kuangazia. La kwanza ni kukushukuru, Mhe. Spika. Nimeona watu wote wameongea mambo yako—uzuri wako, vile umeongoza kwa miaka kumi. Nashangaa! Wana macho na kweli wameona. Nawauliza hivi, kwa ufupi sana:...