Hon. William Mwamkale (Rabai, ODM) Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Mimi ningependa kuzungumzia Ombi la kutoa ushuru kwa vitabu. Mhe. Naibu Spika, hii ni Serikali inayosisitiza watoto Wakenya kupata elimu ya bure. Kama Serikali inataka watoto wapate elimu ya kisawasawa, basi ni lazima iondoe ushuru kwa vitabu. Inafaa Serikali iondoe...