Hon. Mohamed Ali (Nyali, UDA) Ahsante sana, Mhe. Spika. Ninasimama kuunga mkono. Vile vile, nitaanza kwa kusema kwamba ni vyema sisi, kama Wabunge, tujadili maswala muhimu katika taifa hili na wananchi wake. Ikiwa tutaanza kufanya mazungumzo ya kuleta uvumi na fitina, basi hatutakuwa tunasaidia mwananchi wa kawaida. Hili Bunge lina...