Hon. Harrison Kombe (Magarini, ODM) Ahsante, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi niongeze sauti yangu kwenye mjadala huu. Kwanza, ningependa kuwapongeza wahusika wakuu kwa kuona ni bora kuileta nchi yetu iwe kitu kimoja kwa njia ya kuanzisha mchakato huu. Ninaiunga mkono taarifa ya NADCO, haswa kile kipengee cha kuweza...