Hon. Johana Kipyegon (Emurua Dikirr, UDA) Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa nafasi hii. Niseme kwa huzuni kwamba sisi viongozi Wajumbe tuna jukumu la kuhakikisha kwamba sheria ambayo tunaipitisha, inaidhinishwa, kupitishwa na kutumika vizuri. Pia, wakati tumeteuliwa kama wenyeviti wa kamati, na tunajua kuwa imekuwa vigumu kwa mawaziri kuletwa hapa…...