Hon. Peter Kaluma Thank you. Hon. Mishi Mboko, Member for Likoni. Mhe. Mishi Mboko (Likoni, ODM) : Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kongole kwa kupata fursa ya kutuongoza katika Bunge hili la 13. Kwanza, nawapongeza Wabunge wenzetu wawili kwa kuileta Hoja hii ya marekebisho ya Katiba ili tuweke sheria...