Hon. Zuleikha Hassan (Kwale, ODM)
Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia hii nafasi. Naomba kumuuliza Waziri wa Kazi na Masuala ya Kijamii Swali lifuatalo:
Wizara itaanza lini kuandikisha upya wazee, mayatima na watu wenye uwezo maalum ili wapokee fedha za msada za Serikali? Asante.