Hon. David Gikaria (Nakuru Town East, UDA) Asante sana, Mhe. Spika. Mwanzo najua umesoma maombi haya. Sijajua utayaelekeza wapi. Nimesikia Mwenyekiti wa Kamati ya Afya akisema… Najua haya Maombi yanafaa kwenda katika Kamati ya Maombi ya Umma. Sisi kama Wajumbe, tunafaa tuangalie jambo hili kwa sababu Mwenyekiti wa Kamati ya...